Huku siasa kuhusu uhamasishaji juu ya mchakato wa ripoti ya Jopo la maridhiano nchini Kenya (BBI) zikichacha, kumezuka tofauti kati ya wanasiasa wakuu nchini Kenya kuhusiana na mbinu na njia za ...
Naibu Rais William Ruto na Kasisi Peter Kania, katibu wa PCEA, kwenye hafla ya kuadhimisha miaka 50 ya kanisa hilo eneo. [Picha, Standard] Hata kabla ya ripoti kamili kutolewa, tayari Rais Uhuru na ...
Dans sa chemise blanche immaculée, le président Kenyatta était d’humeur rieuse pour recevoir le rapport BBI. Les recommandations des experts touchent au cœur des institutions et notamment de ...
Kama kunalo fungu la watu ambao wamechezwa shere miaka mingi katika mipangilio ya mfumo unaoletwa na mapendekezo ya BBI, bila shaka ni Wakenya wanaoishi jimbo zima la pwani ya Kenya. Wameshuhudia BBI ...
Waasisi wakuu wa Ripoti ya BBI, rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga walitarajia kuwa matokeo yake yangeleta mshikamano wa taifa na kuondoa misuguano ya kisiasa na kikabila. Hata ...
Kuna wasiwasi kuhusu iwapo mpango wa kuwapatanisha wakenya wa BBI utaifikia dhamira yake baada ya wakenya na viongozi kuonekana kugawanyika kuhusu ripoti ya mpango huo. Vijana ni kundi ambalo ...
Uamuzi huo umetolewa na Majaji Sita kati ya Saba waliokuwa wanasikiliza kesi ya rufaa iliyokuwa imewasilishwa na wanaounga mkono mchakato huo. Wakiongozwa na Jaji Daniel Musinga rais wa Mahakama hiyo, ...